.
12th April, 2021
Waumini wa dini ya kiislamu kote duniani wanatarijiwa kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan aidha kesho Jumanne au jumatano. Sawia na mwaka jana mwaka huu umezongwa na changamoto za virusi vya korona na hali haijawa tofauti katika kaunti ya Mombasa ambapo uchumi umewakaba wengi kama anavyoripoti mwanahabari wetu