.
12th April, 2021
Kalenda ya mwaka wa masomo itasalia kama ilivyokuwa imepangwa kutokana na wimbi la korona kuonekana kutulia. Hii ni kulingana na waziri wa elimu prof George Magoha ambaye pia ametoa hakikisho kuwa mtihani wa kitaifa unaokamilika juma lijalo haujashuhudia visa vya udanganyifu na kuwa ripoti zilizokuwa zikisambaa ni za kupotosha. Allan Ochanda na taarifa hiyo