Kambi Zafungwa? Leo ndiyo siku ya mwisho ya makataa ya kufungwa kwa Kambi za Kakuma na Dadaab
07, Apr 2021
Leo ni siku ya mwisho ya makataa ya siku 14 kutoka kwa serikali, kuhusiana na kufungwa kwa kambi za wakimbizi za dadaab na kakuma. Ila anavyoarifu mwanahabari lofty matambo wakazi wa turkana magharibi palipo kambi ya kakuma hawako tayari kuiona kambi hiyo ikifungwa. Kwa nini?