7th April, 2021
Ni miezi michache tuu kabla ya Kenya kuwa mwenyeji wa mashindano ya hadhi ya mbio za magari. Lakini je Kenya imejipanga vipi kuhusiana na mbio hizi? Hii hapa kauli ya atakayesimamia eneo la kuegesha magari na sehemu ya wanahabari Anthony Gatei.