.
7th April, 2021
Nyota wa mpira wa vikapu Felmas Koranga ameelezea ndoto yake ya kua mkenya wa kwanza kucheza ligi kuu ya mpira wa vikapu nchini marekani Wnba. Koranga ambaye ni mwanafunzi nchini marekani analenga kuwa kielelezo kwa wachezaji wachanga nchini wa mpira wa vikapu.