×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Baraza la Magavana limetangaza kuwepo kwa viwanda 58 vya kutengeneza gesi aina ya Oksijeni

7th April, 2021

Baraza la Magavana limetangaza kuwepo kwa takriban viwanda 58 vinavyotengeneza gesi aina ya Oxygeni katika kaunti 47, ila inaongezea kwamba ni viwanda arobaini na viwili pekee ambavyo vinatengeneza gesi hiyo kwa sasa. Vilevile baraza hilo limetoa wito kwa kaunti kuripoti iwapo watakumbana na changamoto ya upungufu wa gesi hiyo ambayo imeshuhudiwa katika hospitali kuu ya kenyatta na kuilazimu hospitali hiyo kupiga marufuku shughuli ya upasuaji wa wagonjwa usiokuwa wa dharura.

.
RELATED VIDEOS