12th March, 2021
Kwa siku ya tatu mfululizo raiya wa Afrika Mashariki wamekuwa wakiuliza kuhusu hali ya rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kumekuwa na taarifa kinzani kuhusu kuwa alikuwa akipokea matibabu nchini kenya kisha akahamishwa hadi india kwa mujibu wa baadhi ya vyombo vya habari.