x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Hujuma kwa Raila? Seneta James Orengo adai Raila ahujumiwa

06, Mar 2021

Senata wa Siaya James Orengo ambaye ni mwandani wa kiongozi wa ODM Raila Odinga anadai kuna waziri mmoja na katibu ambao sasa wanahujumu mikakati ya Odinga ya kinyang’anyiro cha mwaka wa 2022, na kuahidi kuwataja hadharani iwapo hawatakoma. Msimamo wa orengo unajiri siku moja baada ya kakake odinga daktari Oburu Oginga kusema kwamba hamna lolote linalomzuia Odinga na naibu Rais William Ruto kushikana tena kisiasa. Mtazamaji, yote haya yana jiri wakati ambapo Odinga amekita kambi wiki nzima eneo la pwani kujaribu kufufua tena ubabe wa ODM…

Feedback