.
6th March, 2021
Sherehe ya kumkaribisha nyumbani daktari Mukhisa Kituyi ilifanywa nyumbani kwake ilioandamana na mkutano wa umma kuipigia debe azma yake ya urais. Kituyi amedokeza kuwa na mpango wa kubuni muungano wa kisiasa na baadhi ya viongozi waliopigania demokrasia nchini, wakiongozwa na Raila Odinga. Willy Lusige anarifu kutoka bungoma