x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Msemaji wa GEMA: Justin Muturi ametawazwa kama msemaji wa eneo la mlima Kenya mashariki

06, Mar 2021

Spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi ametawazwa kama msemaji wa eneo la mlima Kenya mashariki katika hafla Iliyofanyika hekalu la njuri ncheke kaunti ya Meru. waliofika wametangaza kuwa muturi atakuwa msemaji wa eneo hilo na ataungana na viongozi wengine wa mlima Kenya kuhakikisha kuwa mlima kenya imejumuishwa kwenye serikali Ijayo. Daniel Kariuki anaarifi zaidi

Feedback