x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kinara wa ODM Raila Odinga leo aliitamatisha ziara yake ya siku tano ukanda wa Pwani

05, Mar 2021

Kinara wa ODM Raila Odinga leo aliitamatisha ziara yake ya siku tano ukanda wa Pwani. ziara yake ikiongeza tu idadi ya vigogo wa kisiasa ambao kwa chini ya mwezi mmoja wamekuwa waking'ang'ania kura za pwani. Lakini Raila, naibu rais William Ruto na kinara wa KANU Gideon Moi wakiwa mawindoni vigogo wa pwani pia wataka kuwa mezani. Je hali itakuwaje? Tobias Chanji anaarifu

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback