×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Idara ya polisi imemtaka waziri wa zamani Rashid Echesa kujiwasilisha katika kituo cha polisi

5th March, 2021

Idara ya polisi imemtaka waziri wa zamani Rashid Echesa kujiwasilisha katika kituo cha polisi kilokaribu nae kutokana na tukio la kumzaba kofi afisa wa uchaguzi wa IEBC huko Matungu.Echesa alikua na hadi saa saba mchana wa leo kujiwasilisha ila bado hajafanya hivyo wakati tunakwenda hewani. Haya yanajiri baada ya wizara ya ulinzi kuwapokonya leseni

.
RELATED VIDEOS