.
5th March, 2021
Kwa vyama vya ANC na Ford kenya kushinda chaguzi ndogo za maeneo bunge ya Matungu na Kabuchai , bila shaka matokeo hayo yametuma ujumbe mahsusi wa kisiasa. Kwa muungano wa hivi punde wa vinara wa ANC, Wiper, KANU na Ford kenya, ushindi huo umewapa motisha zaidi kwa azimio lao la kubadili mkondo wa siasa nchini iwapo vigogo hao watavutia wafuasi zaidi kama anavyo tufahamisha mwandishi wetu Duncan