×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali imezindua rasmi shughuli ya kusambaza chanjo;Dkt.Amoth alikuwa mmoja wa waliopokea chanjo

5th March, 2021

Serikali imezindua rasmi shughuli ya kusambaza chanjo ya covid-19 nchini kwenye hafla iliofanyika katika hospitali kuu ya Kenyatta Nairobi. Mkurugenzi wa wizara ya afya Daktari Patrick Amoth alikuwa mmoja wa waliopokea chanjo hiyo. Mwanahabari George Maringa alishuhudia hafla hiyo na hii hapa taarifa yake

.
RELATED VIDEOS