x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Je, hatma ya Ruto chamani Jubilee ni ipi baada wandani wake kutimuliwa katika nyadhifa zao?

02, Mar 2021

Je huenda naibu rais William Ruto akafurushwa kutoka kwa chama cha Jubilee? Ndilo swali vinywani mwa wakenya, baada ya mwandani wake kisiasa Caleb Kositany kupokonywa wadhifa wa naibu katibu mkuu wa chama cha Jubilee, na kukabidhiwa mbunge wa Cherangany Joshua Kutuny.    

Feedback