.
2nd March, 2021
Mahakama ya milimani imetoa agizo kwa gavana wa zamani wa Nairobi Mike Sonko kufika mbele yake alhamisi. Sonko ambaye bado amelazwa katika Nairobi hospitali alikosa kufika mahakamani jumanne asubuhi alivyoagizwa jumatatu na hakimu Peter Aoko.