x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Ratiba ya KNEC: Mitihani ya gredi nne kuanza tarehe nne mwezi wa machi

02, Mar 2021

Wanafunzi ya gredi ya nne waratibiwa kufanya mtihani wao kuanzia machi tarehe nne hadi kumi na tisa. Kwenye barua kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa elimu katika kaunti ndogo, kaimu ofisa mkuu wa baraza la mitihani, DKT. Mercy Karogo, amesema mitihani na taratibu zake vitatiwakwa kwenye wavuti wa baraza hilo kufikia machi tarehe saba, siku moja tu kabla ya mtihani kuanza. Wakati huohuo, wizara ya elimu imeandaa kikao maalum cha maadalizi ya mitihani ya KCPE na KCSE mnamo alhamisi wiki hii.

Feedback