Viongozi wakuu serikalini wasitasita wakidai hawajahusishwa katika usambazaji wa chanjo ya korona
2nd March, 2021
Chanjo ya korona ikitarajiwa kuwasili nchini usiku wa leo bado kuna sita sita za wahudumu wa afya na hata viongozi wengine serikalini wakidai hawajahusishwa katika usambazaji wa chanjo hiyo ya korona.