×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wenyeji Kabete, Kiambu waaleza mshangao wa baada ya mti wa Mgumo kuanguka, wadai lipo jambo

1st March, 2021

Wenyeji wa wa kijiji cha  Muthure katika eneo bunge la Kabete kaunti ya Kiambu wameelezea mshangao wao baada ya mti wanaouthamini kwa mujibu wa itikadi zao, kuanguka.  Mti huo wauitao Mugumo ulianza kwa kunyauka matawi yake na kisha wazee kuandaa tambiko chini yake, ila sasa mti wenyewe umeng'ooka na kuanguka. Wakazi hao wanadai lipo jambo fiche ambalo wangependa wazee wawafafanulie kuhusu kuanguka kwa mti huo.

.
RELATED VIDEOS