.
1st March, 2021
Ni kwamba mmoja wa wagombeaji hao kumi na watano yamkini alichangia pakubwa jinsi mpangilio wa siasa ilivyo kwa sasa, kivyama na pia kwa wagombeaji. Peter Oscar Nabulindo wa ANC ndiye tunayemzungumizia. Je ilikuwaje ndio akaibuka mpeperushaji bendera wa chama cha ANC? Ni yeye alikuwa chaguo la chama hicho tangu mwanzo?