×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mgawanyiko wajitokeza katika familia ya mbunge wa zamani Justus Murunga kutokana na nafasi ya ubunge

1st March, 2021

Mgawanyiko umetokea katika familia ya mbunge wa zamani wa Matungu Justus Murunga aliyefariki mwishoni mwa mwaka jana na kutoa nafasi kwa kiti cha ubunge cha Matungu. Mkewe Christabel Murunga na mwanawe Eugine Murunga wanagombea ubunge huo hatua ambayo imetishia kuisambaratisha familia hiyo.

.
RELATED VIDEOS