.
1st March, 2021
Kampeni za matungu zimefika ukingoni leo, kwa mujibu wa taratibu za tume ya uchaguzi na mipaka, IEBC. Madai ya wizi wa kura yameibuka siku moja baada ya chama cha ODM kudai njama ya wapinzani wao kuzua vurugu katika uchaguzi huo