.
26th February, 2021
Mbunge wa kaunti ya Nairobi Esther Passaris amezipongeza kaunti zote nchini zilizoupitisha mswada wa BBI, akisema ni jukumu la wakenya sasa kuhakikisha mswada huo unapita kwenye kura ya maoni kwani hiyo ndiyo njia pekee ya kuleta amani na usawa kwa kila mkenya