.
26th February, 2021
Bunge la seneti limepokea ripoti ya mswada wa BBI kutoka mabunge 29 tayari kwa ajili ya mjadala katika mabunge mawili kwenye mchakato wa marekebisho ya katiba. anavyoarifu lofty matambo, huenda mkutano wa jana wa ikulu kati ya rais uhuru kenyatta, Raila Odinga na vinara wengine wa vyama ukaashiria mwanzo mpya wa kisiasa