x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

David Murathe ametangaza mikakati ya kumtimua Ruto kutoka makazi yake Karen

26, Feb 2021

Naibu mwenyekiti wa chama cha jubilee David Murathe ametangaza kwamba mikakati ya kumtimua naibu rais William Ruto kutoka makazi yake rasmi ya serikali huko Karen inakaribia kukamilika. Lakini kwa upande wake, Ruto ambaye anazidi kuwindwa na chama chake amesema yuko tayari kupambana na wapinzani ana kwa ana. Ktn news imethibitisha kwamba mwenyekiti wa kamati ya taifa simamizi ya chama hicho NMC ameandaa mkutano siku ya jumatatu wa kumfurusha caleb kositany kama naibu katibu mkuu wa Jubilee

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback