x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

ODM imeahirisha tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya kuwania urais mwaka 2022

25, Feb 2021

Chama cha ODM kimeahirisha tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya kuwania urais mwaka 2022 kutumia tiketi yake. Miongoni mwa wale walioeleza azma ya kupeperusha bendera ya urais chamani humo ni gavana wa Mombasa ali hassan joho na gavana wa kakamega wycliffe oparanya. Ingawa kinara wa odm raila odinga hajaweka bayana azma ya urais, hapo jana alitoa dalili kuhusu kile atakachofanya kuhusu mgao wa fedha wa kitaifa kupitia mswada wa BBI.

Feedback