25th February, 2021
serikali inalenga kuwawezesha vijana wapatao milioni 1 kibiashara ili kupunguza ukosefu wa ajira uliokithiri miongoni wa idadi hiyo ya wakenya wanaokadiriwa kuwa asilimia 75. Hapo jana vijana 750 walifanikiwa kupata tuzo za mbele na biz, ila anavyoarifu mwanahabari lofty matambo, wapo waliohisi kuwa mchakato wa mchujo wa pesa za vijana hauwafikii