24th February, 2021
Wawekezaji wapatao mia tatu wanaodai kulaghaiwa shilingi bilioni 3 na mwekezaji mmoja wanailaumu idara ya upelelezi kwa kukosa kuchunguza mshukiwa huyo wanaodai aliwahadaa kuwekeza kwenye mradi wa bidhaa za kilimo. Kisa hicho kinadaiwa kutokea katika eneo la lower kabete