×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jaji mkuu Mstaafu David Maraga amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya wakili Ahmednassir Abdullahi

24th February, 2021

Jaji mkuu Mstaafu David Maraga amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya wakili Ahmednassir Abdullahi kufuatia habari alizochapisha kwenye mtandao wake wa kijamii, habari anazosema zinamchafulia jina. Maraga pia anataka Mahakama iagize alipwe fidia na vile vile agizo litolewe la kumkanya wakili huyo kutochapisha habari zozote kumhusu. Duncan Khaemba na taarifa hiyo

.
RELATED VIDEOS