×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mikutano ya BBI: Mwenyekiti wa KANU na seneta wa Baringo Gedion Moi asema kuwa BBI itapitishwa

20th February, 2021

Mwenyekiti wa KANU na seneta wa baringo Gedion Moi amefanya kikao hii leo na jamii ya wamasai katika juhudu za kupigia debe chama cha KANU na BBI vile vile…moi ametoa shukrani kwa wawakilishi wa bunge la Kajiado kwa kupitisha mswada wa BBI …haya yanajiri huku kinara wa ODM Raila Odinga akisema kuwa jumanne ndio mbivu na mbichi itabainika wakati kaunti zaidi zinatarajiwa kupitisha ripoti hii ya BBI Daniel Kariuki anaarifu zaidi

.
RELATED VIDEOS