x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanasayansi katika idara ya hali ya anga waonya kuwa wakati haujafika wa mkulima kupanda mimea yake

18, Feb 2021

Huenda kama mkulima ukadhania ni wakati wa kupanda mimea yako lakini wanasayansi katika idara ya hali ya anga nchini wanaonya kuwa wakati haujafika. hii ni kutokana na mabadiliko katika hali ya hewa mwezi januari na februari jambo ambalo hatimae linachangia katika kiwango cha chakula nchini.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback