18th February, 2021
Wabunge watajadili uteuzi tata wa Balozi wa Kenya Seoul Korea kusini mwende mwinzi. mwende alianza kazi siku ya jumatano licha ya bunge la taifa kukataa kuidhinisha utezi wake alipokataa kutupilia mbali uraia wa marekani na kama anavyoripoti geff kirui, bunge sasa inapanga kumuita kubaini iwapo alitupilia mbali uraia wa marekani kabla ya kuanza ka