18th February, 2021
Kaunti ya Nairobi imejiunga na kaunti zingine tatu, ambazo zimepitisha mswada wa BBI leo, baada ya wawakilishi wadi wote kupiga kura ya ndio. Kwa sasa jumla ya kaunti 11 zimepitisha mswada huo kama anavyoarifu mwanahabari wetu, Emmanuel Too.