×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maandamano yameshuhudiwa huko lari kufuatia kifo cha mwanafunzi mmoja wa darasa la 6

18th February, 2021

Maandamano yameshuhudiwa huko lari kiambu kufuatia kifo cha mwanafunzi mmoja wa darasa la sita mwenye umri wa miaka kumi na miwili kuaga dunia akipokea matibabu katika hospitali kuu ya kenyatta.imedaiwa kwamba mwanafunzi huyo mary wambui aliadhibiwa na mwalimu kupelekea maumivu na kifo chake. ni kisa ambacho kimedhibitishwa na kamanda wa polisi katika eneo la lari steve kituo, huku akisema uchunguzi bado unaendelea

.
RELATED VIDEOS