×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Uhuru akutana baraza lake la mawaziri , Naibu Rais Ruto hakuhudhuria mkutano huo

18th February, 2021

Rais uhuru kenyatta katika ikulu ya Nairobi amekuwa na mkutano mkutano na baraza lake la mawaziri pamoja na katibu wa wizara na makatibu waandamizi kujadili namna ya kutekeleza ajenda nne kuu za jubilee pamoja na kuwa viongozi serikali walihudhuria hafla hiyo naibu rais ambaye kisheria ndiye msaidizi mkuu wa rais kenyatta hakuhudhuria hafla hiyo wala haijatolewa sababu ya kufanya hivyo kufikia wakati huu.

.
RELATED VIDEOS