.
17th February, 2021
Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ametoa rambirambi zake kwa familia ya aliyekuwa mwenyekiti wa jopokazi la bbi yussuf haji nyumbani kwake ni siku mbili baada ya yussuf haji kuaga dunia katika hospitali ya nairobi alipokuwa akipokea matibabu baada ya kuugua kwa muda. haji alizikwa katika makaburi ya waislamu ya langata.