x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kilio cha familia ya watoto pacha waliotenganishwa kisha kupatikana miaka 19 baadaye

17, Feb 2021

Familia ya watoto pacha waliotenganishwa katika hospitali ya rufaa ya kakamega wanaoishi katika eneo bunge la likuyani kaunti ya kakamega na kisha kupatikana miaka 19 baadaye, sasa inadai kupitia hali ngumu ya maisha licha ya wahisani kadhaa kujitokeza kugharamia masomo ya watoto hao na mahitaji mengine muhimu.Mevis mbaya melon lutenyo na sharon mathias ambao wanatarajiwa kufanya mtihani waowa kidato cha nne kcpe mwezi mei, wamekuwa wakipitia hali ngumu ya maisha masomo yao yakitatizwa baada ya wahisani wote waliojitokeza kuwasaidia takriban miaka miwili iliyopita kukosa kutimiza ahadi zao.

Feedback