x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mtaala wa CBC: walimu, wanafunzi na wazazi watahitajika kushirikiana pakubwa kufanikisha mtaala huo

11, Feb 2021

Mfumo mpya wa elimu unakusudia kubadilisha kabisa masomo nchini kenya. Kwa mujibu wa ripoti ya jopokazi la utekelezaji wa mtaala mpya wa masomo, CBC, mitihani haitatumika tena katika kuwatathmini wanafunzi katika kutoa mwelekeo wa taaluma na elimu ya mtoto. Hata hivyo walimu, wanafunzi na wazazi watahitajika kushirikiana pakubwa.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback