.
11th February, 2021
Familia ya marehemu Simeon Nyachae hii leo imeongoza ibada ya wafu ya waziri huyo wa zamani katika kanisa la sabato la maxwell mjini Nairobi, kabla ya kuzikwa kwake jumatatu wiki ijayo. Waliozungumza wamemtaja nyachae kama mungwana na mchapa kazi aliyewajibika kwenye kazi yake.