x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Urithi wa Maraga: Tawasifu za wanaotaka kumrithi David maraga kama jaji wa mahakama ya juu zaidI

11, Feb 2021

Tume ya JSC imechapisha majina ya watu 13 walioomba kazi ya jaji mkuu na wengine 9 walioomba kazi ya jaji wa mahakama ya juu zaidi. wanaomezea mate nafasi ya jaji mkuu wamewahi kuhudumu katika nafasi nyinginezo, japo cha kushangaza kuwa ni wakati huu, hamna jaji yeyote wa mahakama ya juu zaidi aliyeomba kazi ya jaji mkuu. mwanahabari george maringa anaangazia tawasifu za wanaotaka kumrithi david maraga.

Feedback