9th February, 2021
Kiongozi wa ODM Raila Odinga amewataka viongozi wa kikristo kuiunga mkono rioti ya bbi, kwa kuwa wamekua miongoni mwa ajenda za mabadiliko nchini. Akizungmza huko Homa Bay, Raila aliongezea kusema kwamba kansa ni mojawapo ya asasi zilizoshiriki kwenye mabadiliko ya bbi, na kwamba wasijiondoe kipindi cha mwisho.