×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta Wamatangi ateuliwa kama kiranja ya walio wengi bunge baada ya seneta Kang'ata kung'atuliwa

9th February, 2021

Chama cha Jubilee kimemtimua kiranja wa wengi bungeni Irungu Kang’ata na kumpa seneta wa Kiambu Kimani Wamatangi nafasi hiyo. Kang’ata alijipata taabani kuanzia mwanzo wa mwaka huu baada ya barua aliyomwandikia rais kuhusu mchakato wa mageuzi ya katiba kuibua hisia na hoja ambazo chama hakikufurahishwa nazo. Jubilee inamlaumu Kanga'ta kwa kutoboa siri za chama.

 

.
RELATED VIDEOS