×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gideon Moi amejizatiti vipi tangu kukabithiwa rungu iliyokuwa kitambulisho ya mamlaka ya hayati Moi?

4th February, 2021

Mwaka mmoja sasa, baada ya mazishi ya hayati Rais Daniel Moi, taifa lilishuhudia mbunge wa Rongai Raymond moi akimkabithi kakake mdogo seneta wa baringo Gideon Moi rungu iliyokuwa kitambulisho tosha cha mamlaka ya marehemu rais. alipofanya hivyo, mwanawe huyo wa marehemu ambaye sasa ndiye kiongozi wa familia alimshinikiza gideon awajibike na kudhibiti hadhi yao kisawasawa. Je kufikia sasa amejizatiti na kujikakamua vipi? Duncan khaemba amepekuwa pekuwa makavazi na kutupakuliwa ripoti ifuatayo.

 
.
RELATED VIDEOS