.
4th February, 2021
Familia, jamaa na marafiki wa hayati rais daniel toroitich arap moi, hii leo wamekongamana nyumbani kwake kabarak katika hafla ya kwanza ya ukumbusho ya rais huyo. Ilikuwa sherehe ya aina yake na yenye taadhima ya kifalme, huku waliohudhuria wakiwa na kumbukumbu nzuri kumhusu Rais moi, ibrahim karanja alihudhuria hafla hiyo na anaarifu.