x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanaume wa eneo la kitunda jijini dar es salaam, wanashiriki mapambano dhidi ya ukeketaji

04, Feb 2021

Kuelekea siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji februari 6 mwaka huu, wanaume wa eneo la kitunda jijini dar es salaam, wanashiriki mapambano dhidi ya ukeketaji wa wasichana katika eneo hilo, ambalo watu wake bado wanawakeketa wasichana, kwa mujibu wa utafiti wa TDHS wa mwaka 2015/2016 ukeketaji jijini dar es salaam, ni asilimia 4 na ni kutokana na jamii zinazohamia jijini humo kuhama na mila zao.  

Feedback