×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kipindi cha Foods of Kenya kupeperushwa tena katika runinga ya KTN Home

2nd February, 2021

Kipindi ukipendacho cha foods of Kenya kitapeperushwa tena kupitia runinga ya KTN Home. Hii ni baada ya kampuni ya standard group kutia sahihi kandarasi na wakuu wa kipindi hicho kinachoonyesha aina mbalimbali ya vyakula na utamaduni wa jamii za humu nchini. Akitia sahihi kandarasi hiyo mkurugenzi wa idara ya televisheni na redio katika kampuni ya Standard Group Joe Munene amekisifu kipindi hicho akisema kinaonyesha ladha halisi ya vyakula vya jamii za taifa hili.

 

.
RELATED VIDEOS