×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

W.H.O yaidhinisha matumizi ya pete ya uzazi miongoni mwa wanawake kuwakinga dhidi ya HIV

2nd February, 2021

Vita vya kupambana na virusi vya ukimwi vyazidi kuimarika kila uchao, hii ni baada ya shirika la afya duniani W.H.O kukubali utumizi wa pete ya uzazi itakayotumika kuwakinga wanawake dhidi ya kuambukizwa virusi hivyo. Pete hiyo huenda ikapunguza maambukizi ya virusi vya hiv ambavyo vimekuwa tishio kwa wengi anavyo elezea Beldeen Waliaula.

 

.
RELATED VIDEOS