x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakulima wa miraa mjini Meru kutokana na mgogoro wa kidiplomasia baina ya kenya na somalia

28, Jan 2021

Huko meru mwanahabari Allan Ochanda anayo taarifa ya kusononeka kwa wakulima wa miraa kutokana na mgogoro wa kidiplomasia baina ya kenya na somalia, ambayo ndiyo nchi iliyo na soko la zao la miraa. wakuu wa vyama vya ushirika vya wakulima wa miraa sasa wanasema umewadia muda wa serikali kutafuta suluhu ya kudumu ili kuwakinga wakulima hao kama wakulima wengine nchini.

Feedback