×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gharama Ya Tiba: Familia moja Embu imelazimika kuigeuza nyumba yao kuwa chumba cha matibabu

28th January, 2021

Familia moja mjini Embu imelazimika kuigeuza nyumba yao kuwa chumba cha matibabu kufuatia gharama ya juu ya matibabu hospitalini. familia ya elias nthiga inasema mtoto wao mwenye umri wa miezi minane aligunduliwa kuwa na mashimo mawili kwenye moyo wake akiwa na umri wa miezi mitatu na kwamba wanahitaji shilingi milioni moja na nusu kumpeleka kwa matibabu nchini india. hata hivyo kama njia ya kupunguza kuongezeka kwa gharama ya matibabu katika hospitali ya rufaa ya kenyatta alikotibiwa mtoto huyo, wahudumu wa afya wamewashauri kununua mtungi wa gesi na vifaa vingine vya matibabu wanaposubiri kupata fedha za kutosha kumsafirisha mtoto wao wa kike kwa matibabu zaidi.

.
RELATED VIDEOS