x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wafanyibiashara wa miraa Meru wamefurahishwa na kuondolewa kwa marufuku ya uagizaji miraa Somalia

27, Jan 2021

Wakulima na wafanyibiashara wa miraa seemu ya igembe kaunti ya meru wamefurahishwa na taarifa ya kuondolewa kwa marufuku ya uagizaji miraa hadi nchini somalia kutoka hapa kenya. tangazo hilo lilitolewa na waziri wa fedha wa somalia abdirahman dualleh baileh, ambaye aliekeza masharti kadhaa kufatwa kabla ya zao hilo liwasili nchini somalia, ikiwemo wafanyibiashara kupata leseni ya uagizaji kutoka kwa srikali ya somalia na kulipa ada zote.

Feedback